Maisha Plus 2016 yaja kivingine

Mashindano ya Maisha Plus ambayo yamefahamika kwa kuwa na uhalisia zaidi yamerudi katika awamu nyingine tena.
13395077_901064306687174_894571052_n
Majaji wa shindano hilo, Masoud Kipanya na Kaka Bonda
Msimu huu mpya tutegemee ushindani mkubwa zaidi kutokana na wigo wa mashindano hayo kuwa kujikita katika nchi 5 za Afrika Mashariki ambazo ni Kenya,Uganda,Rwanda,Burudi na wenyeji Tanzania.
13402538_1069765133087848_1657317530_n
Usaili wa Mtwara ulivyokuwa
13402538_1069765133087848_1657317530_n
Maisha Plus 2016 itakuwa inaruka katika runinga ya Azam Two kuanzia saa 3:00 usiku mpaka saa 4:00 usiku Na usahili ulianza June 4, mkoani Mtwara.
13388482_1849951361899260_1282778637_n
Mashindano hayo msimu huu yamekuja na donge nono kwa mshindi kwani atajinyakulia kitita cha shilingi za kitanzania milioni 3013395077_901064306687174_894571052_n

Comments