VideoMPYA: Madee katuletea hii video mpya ya ‘migulu pande’ , ndani yumo Kajala na StanBakora

Ni hit single ya mkali kutokea Tiptop Connection na ametimiza ahadi kama alivyosema, director ni Mtanzania Adam Juma… ukishaitazama hii video hapa chini usiache kutoa comment yako maana Madee atapita kujua raia wake wameipokeaje.
Comments
Post a Comment