Music: Ali Kiba Ft M.I – Aje


Wimbo mpya wa Alikiba amemshirikisha rapper MI kutoka Nigeria. Wimbo unaitwa “Aje”. Katika wimbo huu katajwa Wema Sepetu na Lulu Michael. M.I kajaribu kurap kwa Kiswahili mwishoni.




Comments