MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AZINDUA RASMI UKUMBI WA MIKUTANO WA MWADHAMA LAUREAN KADINALI RUGAMBWA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki
Tanzania Mhashamu Askofu Tarcius Ngalekumtwa, wakati alipowasili kwenye
ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es
salaam kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya makabidhiano ya ukumbi huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Mwadhama Polycap Kadinali
Pengo kwa pamoja wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa Mwadhama
Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es
salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua pazia kuzindua rasm ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali
Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam
Muonekano wa nje wa ukumbi wa Mwadhama Laurean Kadinali Rugambwa Oysterbay jijini Dar es salaam
Comments
Post a Comment