Wananchi
wamefanya maandamano huko Manzese jijini Dar es Salaam wakipinga kile
wanachokiita ni wizi unaoendelea ndani ya bunge Maalum la Katiba ikiwa
ni mwendelezo wakutimiza tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA na UKAWA la
kufanya maandamano nchi nzima kupinga mchakato huo.
Comments
Post a Comment