hii ndio list ya Wanawake warembo zaidi Afrika, Mtanzania ni mmoja tu… picha zao wote ziko hapa
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Jarida la Glitz Afrika limetoa list yao ya Wanawake 20 wenye mvuto zaidi ndani ya Afrika ambapo kwenye hii list yao ameonekana Mtanzania mmoja tu Huyu ni Millen Magesse ndiye mtanzania pekee aliyeingia kwenye list hiyo.
Huyu hapa chii ni Leila Lopes (Angola)
Huyu wa chini ni Vimbai Mutinhiri (Zimbabwe)
Huyu wa chini ni Oluchi Orlandi (Nigeria)
Yvonne Nelson (Ghana) huyu hapa chini
Huyu hapa chini ni Dillish Mathews (Namibia)
Agbani Darego (Nigeria)
Tiwa Savage (Nigeria)
Huyu anaefata hapa chini ni Stephanie Linus (Nigeria)
Comments
Post a Comment