WANAFUNZI WAWILI WA CHUO CHA CBE DODOMA WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA PIKI PIKI DODOMA!!!!
ENZI ZA UHAI RAMADHANI
ENZI YA UHAI GEORGE
ENZI YA UHAI RAMADHANI
Habari zilizotufikia ,wanafunzi wa chuo cha CBE Dodoma Campus ,wafariki dunia kwa ajali ya piki piki mkoani Dodoma leo usiku , wanafunzi hao ni GEORGE FINITY na RAMADHANI
Taarifa zaidi utaendelea kuzipata hapa hapa mpepayena.blogspot.com
mungu azilaze roho zao mahali pema!!!!
R,I.P FRIENDS!!!
ReplyDelete