CHECK VIDEO OMMY DIMPOZ AKIRUSHIWA MAKOPO YA BIA NA MASHABIKI ,NDANI YA KILIMANJARO MUSIC TOUR 2013 DODOMA !!!


HII ILIKUWA NDANI YA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE KILIMANJARO MUSIC TOUR 2013 ,OMMY DIMPOZ ALIRUSHIWA MAKOPO YA BIA NA MASHABIKI, NILISIKIA WAKISEMA KWA SABABU ALIMTUKANA MAREHEMU ALBET MANGWEA

Comments

  1. xx huo ndo mwanz bdo cn tutaendelea kumchukia cn big up vjan wa dom

    ReplyDelete

Post a Comment