PICHA & VIDEO: Diamond Platnumz kabomoa nyumba yao ya zamani Tandale DSM na kuijenga hii mpya.

Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumzalikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi chini baada ya hii picha.
D
Diamond akifanya video mbele ya nyumba ya zamani.. muonekano baada ya kuibomoa na kuijenga upya ndio upo kwenye hii video fupi hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

The World’s largest tortoise found in Amazon River is around 529 years old / height-59 feet/ weight-800 pounds OR 362.87 kg incredible.