HUYU NDIO MTOTO WA P FUNK ALIYE ZAA NA KAJALA MASANJA MCHEKI HAPA







Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent,so vp kuhusu mtot? Hawezi kukosa kuwa na kipajina yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na Mama yake ni Actress hapa bongo. Je atafuata nyayo za Baba yake au Mama yake??


Comments